DALILI ZA KIFAFA CHA MIMBA

  • Kwa mama-mjamzito ni vyema kuzifahamu dalili za kifafa cha mimba ili aweze kuchukua hatua za ki-afya pale tu anapohisi hizi dalili, kwani kifafa cha mimba kinatibika na kinadhuirika kama mama-mjamzito mwenye hizi dalili atagundulika mapema. zifuatazo ni dalili za kifafa cha mimba.

1. Msukumo wa damu kuwa sawa au zaidi ya 140/90mmHg
2. Maumivu ya kichwa hasa kipanda uso
3. Kuona maluweluwe
4. Kupata maumivu ya tumbo la juu
5. Mkojo kuwa na kiasi kingi cha protein
6. Kuvimba mwili mzima
7. Kutopata mkojo au kupata mkojo kiasi
8. Kuongezeka uzito
9. Kichefuchefu kilichozidi na kutapika sana
  • Hivyo ni viashiria vya kifafa cha mimba, kiashiria kikuu ni shimikizo la damu kuwa sawa au zaidi ya 140/90mmHg kwa mama-mjamzito.
WASILIANA NASI KWA UFAHAMU ZAIDI +255757599024-what's app.

No comments

Theme images by compassandcamera. Powered by Blogger.