VYAKULA VYA KUTOKULA MAMA-MJAMZITO KIPINDI CHA UJAUZITO
- Hii video inaonyesha baadhi ya vyakula ambavyo mama-mjamzito haruhusuwi kula kipindi cha ujauzito. ulaji wa vyakula vilivyotajwa kwenye hii video huweza msababishia mama mjamzito madhara yafuatayo;
1. Mimba kuharibika
2.Kuzaa mtoto mfuu
3. Kuzaa mtoto mwenye magonjwa
4.Kuzaa mtoto mwenye uzito usioendana na umri
5.Kuzaa mtoto mdogo
WASILIANA NASI KWA UFAHAMU ZAIDI +255757599024-what's app.
No comments