MAAMBUKIZI YA CORONA VIRUSI KWA MAMA-MJAMZITO

  • Mwanamke akipata ujauzito kinga yake ya mwili hubadilika na kuwa chini hivyo kumuweka katika hatari ya kupata magonjwa mbalimbali katika kipindi cha ujauzito, wanasayansi wanasema kuwa mabadiliko ya kinga ya mwili yanayotokea katika kipindi cha ujauzito yanamuweka mama-mjamzito katika hatari kubwa ya kupata maambukizi ya virusi vya corona kuliko mama asiye mjamzito, pia mama- mjamzito yupo mwenye maambukizi ya virusi vya corona yupo katika hatari ya kujifungua kabla ya umri wa mimba wa kujifungua. 

  • Wanasayansi wanaendelea kuchunguza kwa kina kirusi cha corona na madhara yake kwa ujauzito, lakini kwa sasa ni vyema mama-mjamzito akachukua tahadhari ya kujikinga na maambukizi ya virusi vya corona kwa
    • kunawa mikono na sabuni/sanitizer
    • kuvaa barakoa usoni kwa kufunika mdomo na pua
    • kujiepusha na misongamano ya watu wengi

IIWASILIANA NASI KWA UFAHAMU ZAIDI +255757599024-what's app.



No comments

Theme images by compassandcamera. Powered by Blogger.