VYAKULA VYA KUTOKULA MAMA-MJAMZITO KIPINDI CHA UJAUZITO
Hii video inaonyesha baadhi ya vyakula ambavyo mama-mjamzito
haruhusuwi kula kipindi cha ujauzito. ulaji wa vyakula vilivyotajwa
kwenye hii video huweza msababishia mama mjamzito madhara
yafuatayo;
1. mimba kuharibika
2.kuzaa mtoto mfuu
3.kuzaa mtoto mwenye magonjwa
4.kuzaa mtoto mwenye uzito usioendana na umri
5.kuzaa mtoto mdogo
No comments