UZAZI WA MPANGO (FAMILY PLANNING).
Uzazi wa mpango ni kutambua, kuamua, na kupanga idadi ya watoto ambao, wanandoa au mtu atakao weza kuwalea katika mpangilio ulio bora kwa aj...
MADHARA YA MATUMIZI YA P2
Vidonge vya dharura ya uzazi wa mpango au P2 havina madhara kwa mtumiaji endapo tu vitatumika ipasavyo. matumizi ya P2 yanatakiwa yatumike...
JINSI YA KUTUMIA P2 - MATUMIZI YA P2
Matumizi ya P2 hutegemea na aina ya njia ya dharura unayotumia, kuna aina mbili zinazotumika kama njia za dharura za uzazi wa mpango. 1. vi...
FAHAMU KUHUSU P2
P2- Ni njia ya uzazi wa mpango inayotumika katika hali ya dharura, hivyo kuitwa njia ya dharura ya uzazi wa mpango. hufahamika pia kama m...
MAZIWA YA MAMA
Maziwa ya mama ni maziwa yanayotengenezwa na yanayotoka katika matiti ya mwanamke kwa ajili ya kumlisha au kama chakula kwa mtoto aliyezaliw...
DALILI ZA YAI KUTOKA KWENYE OVARY NA KUWA TAYARI KWA UCHAVUSHWAJI
Si kila mwanamke hupata dalili au viashiria vya yai kutoka kwenye ovary, kuna baadhi hupata na wengine hawapati kabisa, na dalili hizi na ...