UZAZI WA MPANGO (FAMILY PLANNING).
Uzazi wa mpango ni kutambua, kuamua, na kupanga idadi ya watoto ambao, wanandoa au mtu atakao weza kuwalea katika mpangilio ulio bora kwa aj...
JINSI YA KUMUAMSHA MTOTO MCHANGA USINGIZINI.
Mtoto mchanga anapotoka kuzaliwa anakuwa amechoka na huhitaji kupumzika, huhitaji masaa 14-17 ya kulala ndani ya siku moja, japokuwa wengine...
MAANDALIZI KABLA YA KUJIFUNGUA UJAUZITO/UCHUNGU
Maandalizi kabla ya kujifungua au uchungu ni suala la muhimu linalotakiwa lihusishe familia, ndugu na jamaa kwaajiri ya kupata ushirikiano w...
MADHARA YA MATUMIZI YA P2
Vidonge vya dharura ya uzazi wa mpango au P2 havina madhara kwa mtumiaji endapo tu vitatumika ipasavyo. matumizi ya P2 yanatakiwa yatumike...
JINSI YA KUTUMIA P2 - MATUMIZI YA P2
Matumizi ya P2 hutegemea na aina ya njia ya dharura unayotumia, kuna aina mbili zinazotumika kama njia za dharura za uzazi wa mpango. 1. vi...
FAHAMU KUHUSU P2
P2- Ni njia ya uzazi wa mpango inayotumika katika hali ya dharura, hivyo kuitwa njia ya dharura ya uzazi wa mpango. hufahamika pia kama m...
VYAKULA VYA KUTOKULA MAMA-MJAMZITO KIPINDI CHA UJAUZITO
Hii video inaonyesha baadhi ya vyakula ambavyo mama-mjamzito haruhusuwi kula kipindi cha ujauzito. ulaji wa vyakula vilivyotajwa kwenye hii...
DALILI ZA KIFAFA CHA MIMBA
Kwa mama-mjamzito ni vyema kuzifahamu dalili za kifafa cha mimba ili aweze kuchukua hatua za ki-afya pale tu anapohisi hizi dalili, kwani k...